Loading...
SERIKALI KUPIGA MNADA SUKARI ILIYOTELEKEZWA
Serikali kupiga mnada takribani tani 1,000 za sukari zilizotelekezwa kwenye bandari ya Dar na wafanyabiashara ikisemekana wanahofia mchanganuo wa kodi.
TRA tayari imeweka makontena 44 kwa ajili ya mnada wiki ya kwanza ya Oktoba iwapo wamiliki wake watashindwa kujitokeza na kudai mzigo wao ndani ya siku 30
Chanzo Jamii forum
Post a Comment