Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo..
Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo asema wahitimu shahada za sayansi ambao si walimu kupatiwa mafunzo maalum wakafundishe kwenye shule zenye uhaba wa walimu wa sayansi sehemu mbalimbali nchini.Ikiwa ni sehemu ya malengo ya serikali ya awamu ya tano ya kupambana na tatizo la uhaba wa walimu wa masomo ya sayansi nchini
on Tuesday, September 13, 2016
Post a Comment