1. Robert Wadlow (8 ft and 11.1 in /2.72 m).alizaliwa Marekani mwaka 1918 na alifariki 1940, yeye peke ndie mtu mrefu zaidi Duniani tangu kuanza kuwekwa kwa Rekodi.
2. John Rogan (8 ft 8 in or 2.67 m). alizaliwa Marekani mwaka 1865 na alifariki 1868
3. John F. Carroll (8 ft 7 ¾ in or 2.64 m).alizaliwa Marekani mwaka 1932
4. Leonid Stadnyk (8 ft 5.5 in or 2.57 m).
5. Väinö Myllyrinne (8 ft 3 in or 2.51 m). alizaliwa mwaka 1940 na alifariki 1963
6. Edouard Beaupré (8 ft 3 in or 2.51 m). alizaliwa mwaka 1881 na alifariki 1904
7. Sultan Kösen (8 ft 3 in or 2.51 m).
8. Bernard Coyne (8 ft 2 in or 2.49 m).
9. Don Koehler (8 ft 2 in or 2:49 m).
10. Vikas Uppal (8 ft 2 in or 2:49 m).
Credit: Muungwana blog
Post a Comment