Taarifa za uchaguzi wa nafasi ya umeya katika halimashauri za kinondoni na Ubungo zimekuwa tata baada ya sintofahamu kutawala jambo hilo.
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe.
taarifa kutoka Halimashauri ya Ubungo ni kwamba Uchaguzi wa Umeya katika halimashauri hiuo umeahirishwa mpaka utakapotangazwa tena baada ya kutokea kwa mabishano ya kikanuni na kisheria kuwahusisha wajumbe wa mkutano huo wakiongozwa na wabunge wa Chadema John John Mnyika na Saed Kubenea.
Viongozi wa Chadema Ubungo.
tofauti na Ubungo, taarifa tata zimeibuka Kinondoni ambapo pamoja na Chadema kutoka nje kususia uchaguzi huo, lakini CCM wao waliendelea na uchaguzi huo na inasemekana kuwa diwani Ben sita wa CCM ametangazwa kuwa Meya mpya ma manispaa hiyo baada ya kupata kura zote 18 za ndio.
zaidi tunaendelea kuwajuza
Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS ... UKAWA WASUSIA UCHAGUZI ... CCM WASHINDA UCHAGUZI UMEYA KINONDONI
Post a Comment