Loading...
Rais Magufuli aongoza kwa kura tuzo za Forbes
Jarida maarufu la Forbes la nchini Marekani limemtaja Rais Dkt John Joseph Pombe Magufuli kuwania tuzo ya Forbes Africa Person of The Year.
Rais Magufuli anachuana na watu wengine wanne wakiwemo: Rais wa Mauritius, Ameenah Gulib, Mwanzilishi wa Capitec Bank, Michiel Le Roux na Thuli Madonsela wa Afrika Kusini pamoja na watu wa Rwanda.
Mwaka jana, 2015 Mfanyabiashara Mohammed Deji wa Tanzania alishinda tuzo hiyo, huku mfanyabiashara wa Nigeria Aliko Dangote akiwa ndiye mshindi wa mwaka 2014.
Hadi sasa Rais Magufuli anaongoza kwa asilimia 75% Kwenye kinyanganyiro hicho.
Tuzo hizo kwa mwaka huu zitatolewa jijini Nairobi, Kenya November 17.
Post a Comment