ARUSHA: Tingatinga moja lililokuwa likibomoa nyumba ili kupisha ujenzi wa barabara limekuta mamilioni ya fedha yakiwa yamefukiwa ardhini eneo la Mianzini.
- Fedha hizo zilikuwa za mfanyabiashara mmoja, wananchi walivamia nyumba hiyo na kuchukua fedha zilizokuwa zimetapakaa ardhini
on Tuesday, October 4, 2016
Post a Comment