Masaa machache baada ya Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini Moses Machali kupitia NCCR Mageuzi, na baadae kuhamia ACT-Wazalendo, kutoa taarifa ya kuhusu kuunga mkono serikali ya awamu ya tano na utendaji kazi wake, Afisa habari wa chama cha ACT-Wazalendo, Abdallah Hamisi ameongea haya. Sikiliza hapo Sauti yake hapo chini

Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe kulia akimtambulisha Mbunge wa Kasulu Mjini aliyemaliza muda wake Moses Machali ambaye alijiunga rasmi na ACT-Wazalendo mwaka jana mwezi wa Saba
Post a Comment