Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS ... Rais Magufuli amshughulikia Sumaye ... Afuta hati ya shamba lake
BREAKING NEWS ... Rais Magufuli amshughulikia Sumaye ... Afuta hati ya shamba lake
Leo Mh Raisi kupitia mteule wake DC salum Hapi amefuta umiliki wa Shamba ekari 35 zilizokuwa zinamilikiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye.
Akizungumza Leo DC Salum Hapi amesema Sumaye hatakiwi kufanya chochote kwenye shamba hilo kwani kashanyang'anywa na limerudishwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Mh Sumaye alikuwa anamiliki ekari 35 maeneo ya Mabwepande Kinondo na ilitokea mgogoro baada ya wakazi kulivamia kutokana kutoliendeleza kwa mda mrefu.
Chanzo: JF
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
-
Jioni21 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment