Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Mvomero kupitia Chadema Ndugu Oswald Mlayi "Mbaula" amehamia CCM huku akianika sababu kuu tatu zilizomfanya aikache CCM.
Mbaula amezitaja sababu hizo kuwa ni makundi yasiyoisha ndani ya Chadema, utapeli na hali ya kulazimishwa kumchafua Rais Magufuli
on Monday, November 28, 2016
Post a Comment