Rais Magufuli leo amepokea Marais wa Mataifa mawili ya Tchad na Zambia kwa mialiko ya ziara za kikazi.
Rais wa Chad Idriss Deby atakuwepo nchini kwa siku mbili katika ziara ya Kikazi.
Tanzania na Zambia zinatarajia kusaini mikataba ya ushirikiano Kibiashara,kiuchumi na kidiplomasia
on Sunday, November 27, 2016
Post a Comment