MIMI ALLY .S. KOLAHILI
Leo tarehe 15.12.2016 nimeamua kujiuzulu nafasi ya ukatibu kata ya K/NDEGE nakuwa mwanachama wa kawaida tu. Pia sitagombea nafasi ya udiwani katika uchaguzi huu wa marudio unaotarajiwa kuanza tarehe 22.12.2016 Nawatakia safari njema ya uongozi viongozi wote wa ACT WAZALENDO.
on Sunday, December 18, 2016
Post a Comment