Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo alipofika kwenye makazi ya Waziri Mkuu huyo, Oysterbay jijini Dar es salaam, kumtembelea, leo, Januari 29, 2017
Waziri Mkuu, Malaiwa Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na Mfanyabaishara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo alipokwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salam kumtembelea, leo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo alipofika kwenye makazi ya Waziri Mkuu huyo, Oysterbay jijini Dar es salaam, kumtembelea, leo, Januari 29, 2017
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza Mfanyabiashara Maarufu nchini, Mustafa Sabodo alipofika kweneye makazi ya Waziri Mkuu huyo, Oysterbay jijini Dar es salaam, kumtembelea, leo, Januari 29, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Loading...
Home » Unlabelled » Aliyekuwa mfadhili mkuu wa Chadema Sabodo amtembelea Waziri Mkuu Majaliwa nyumbani kwake
Post a Comment