Loading...
Kigogo mwingine Chadema atupwa jela
Diwani wa Kata ya Iseke chadema Mhe Emanuel J.Jingu amehukumiwa na mahakama ya mwanzo-Ikungi chini ya Hakimu Mh Nindi *kwenda jela miezi mitano* au faini ya sh 500,000/- kwa kosa la kutukana viongozi wa serikali ya kijiji cha muungano katika kata ya Unyahati wilayani Ikungi wakiwa kwenye kikao cha halmashauri ya kijiji.
Mara Baada ya hukumu *Mhe Emanuel J.Jingu ameshindwa kulipa faini hivyo amepelekwa magereza Mkoa wa singida kuanza kutumikia adhabu hiyo*
Pamoja na hukumu hiyo Diwani huyo anakabiliwa na kesi nyingine ya kuzuia ukusanyaji wa mapato,kutoa Matusi Hadharani na kumzuia afisa wa serikali kufanya majukumu yake.
BLOG RAFIKI
-
-
-
Kwa Undani10 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment