Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS .... Mbowe, Iddi Azan, Manji, Mchungaji Gwajima na wengine 65 waitwa Polisi na RC Makonda sakata Madawa ya kulevya


MAJINA YA WATU SITINI NA TANO NDIYO ANAYATAJA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAUL MAKONDA WAKIWA WANAHUSISHWA NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA

Mmiliki wa Slipway, Mmiliki wa Yatch Club, Mwinyi Machapta, Salehe wa MMI, Rose yupo China, Kiboko wa Mbezi, Hafidh wa Mbezi .....Idd Azzan atakiwa kufika Central Polisi Ijumaa saa Tano Asubuhi!! ...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe naye atakiwa kufika Central Polisi Siku Ijumaa Saa Tano Asubuhi

Chanzo: Mwananchi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top