Loading...
Home » Unlabelled » BREAKING NEWS ... Manji awa mbogo .... Ni baada ya kutajwa sakata la madawa ya kulevya .... Haya hapa aliyoyasema ....
BREAKING NEWS ... Manji awa mbogo .... Ni baada ya kutajwa sakata la madawa ya kulevya .... Haya hapa aliyoyasema ....
Alichokisema Manji:
Manji: Nimesikia wakisema natakiwa kufika kituo cha Polisi siku ya Ijumaa.
Manji: Mimi nina nafasi mbili kwenye jamii, Mimi ni mtoto wa baba yangu na nafasi yangu ya pili mimi ni mwenyekiti wa Yanga na nyote mnajua ninavyoheshimiwa.
Manji: Na chaguzi zilizopita mimi nilichukuahukua fomu peke yangu ya kugombea Yanga hivyo naheshimika.
Manji: Huwezi kunitangaza kupitia radio kwamba niende kwenye kutuo cha polisi saa tano. Makonda ni mdogo kwangu kiumri.
Manji: Na katiba inasema kila mtu ana haki yake, Ukinichafua mimi kama Mwenyekiti wa Yanga unachafua Yanga nzima.
Manji: Ukinishutumu mimi ni mpumbavu tu wewe.
Manji: Kama unataka mimi nikusaidie kutaja wauzaji ni kuniweka kwenye hatari.
Manji: Mimi nitaenda Kituo cha Polisi kesho sisubiri hiyo Ijumaa
Yusuph Manji -Mimi nitaenda kesho kituo cha polisi sisubiri ijumaa aliyoisema yeye
Yusuph Manji -Nitamshitaki Makonda Mahakamani
Yusuph Manji -Kila chombo kitakachoniandika nitakipeleka mahakamani.
Yusuph Manji -Alichokifanya Mkuu wa Mkoa ni kosa siwezi kukubali nitaenda naye mpaka mwisho
Yusuph Manji -wana yanga kama wanaona mimi sifai waitishe kikao nipo tayari kuondoka hata kesho
Yusuph Manji -kwanini Makonda hajamuita Kadinar Pengo kituo cha Polisi.
Yusuph Manji -huwezi kuniita mimi Kama Mbwa
Yusuph Manji -unatafuta umaarufu kupitia mgongo wangu
Manji:Nimesikia wakisema natakiwa kufika kituo cha Polisi siku ya Ijumaa.
Manji:Mimi nina nafasi mbili kwenye jamii, Mimi ni mtoto wa baba yangu na nafasi yangu ya pili mimi ni mwenyekiti wa Yanga na nyote mnajua ninavyoheshimiwa.
Manji:Na chaguzi zilizopita mimi nilichukuahukua fomu peke yangu ya kugombea Yanga hivyo naheshimika.
Manji:Huwezi kunitangaza kupitia radio kwamba niende kwenye kutuo cha polisi saa tano. Makonda ni mdogo kwangu kiumri.
Manji:Na katiba inasema kila mtu ana haki yake, Ukinichafua mimi kama Mwenyekiti wa Yanga unachafua Yanga nzima.
Manji:Ukinishutumu mimi ni mpumbavu tu wewe.
Manji:Kama unataka mimi nikusaidie kutaja wauzaji ni kuniweka kwenye hatari.
Manji:Mimi nitaenda Kituo cha Polisi kesho sisubiri hiyo Ijumaa.
Manji:Kifungu cha 66 katika katiba kinaeleze haki zangu na kufungu 32 pia. Vinanilinda.
Manji:Nataka nimshitaki Mahakamani na vyombo vyote vilivyoandika kunituhumu na madawa.
Manji:Kesho naenda Polisi asubuhi nihojiwe baada ya hapo naanza kutafuta haki yangu. Huwezi kuniita kaka huku unanitaja kwenye mambo mabaya.
Manji:Wapo watu kwenye mtandao wameanza kuandika vitu, Alichofanya mkuu wa mkoa ni kosa siwezi kukubali.
Manji:Na Wanayanga kama mnaona mimi sifai na kama hamna imani na mimi hata kesho naondoka Yanga. Siwezi kuchafua Club kubwa.
Manji:Kwanini RC Makonda hajamuita Askofu Pengo au Mashehe wamsaidie?
Manji:Hiwezi kuniita mimi kama mbwa njoo, Hii ni kutafuta masifa. Kesho utanikuta mimi kwenye gazeti na wengine 65 watasahaulika. Hii sio haki.
Manji:Zipo njia za kushughulikia vitu, Tukienda Comoro tunaenda na bendera ya Tanzania.
Manji:Kama unataka msaada omba msaasa sio unaagiza msaada, Unaniita na watu 65 nikae kwenye foleni, watu 65 watamaliza saa ngapi? Saa tano usiku nitoke? Sina kazi nyingine za kifanya?
Manji: Yupo mzee mmoja na wenyewe mnamjua, alinitukana nikamdai shilling moja. Unanihusisha mimi jina langu nililoachiwa na baba kwenye huu upumbavu halafu unathubutu kiniita kaka yako?
Post a Comment