STEVE NYERERE AFUNGUKA MAZITO LEO FEB 25, 2017
Kati ya wasanii waliolipwa fedha nyingi na CCM ni dada (Wema Sepetu), na hakuna msanii wa Mama Ongea na Mwanao anayeidai CCM- Steve Nyerere
CCM tulifanya kampeni na tulilipwa, hatukuingia mkataba kuwa baada ya kampeni ukikamatwa na unga, CCM itakulinda na kukutetea- Steve Nyerere
Si kweli kuwa nilishinikiza wabunge wamjadili Wema, nilitumia sanaa tu kumlaghai Mama Wema atulie kuhusu Wema kukamatwa- Steve Nyerere
Si kweli kuwa nilishinikiza wabunge wamjadili Wema, nilitumia sanaa tu kumlaghai Mama Wema atulie kuhusu Wema kukamatwa- Steve Nyerere
Sijazungumza na Waziri yeyote kuhusu Wema kukamatwa, nilitaka kumtuliza Mama. Ni kama kumlaghai mtoto na pipi achomwe sindano- Steve Nyerere
Niwaombe radhi wote niliowataja katika mazungumzo yangu, sikufanya kwa nia mbaya, nilitaka kukilinda chama na kumsaidia Wema- Steve Nyerere
Niliombe radhi Bunge tukufu, nimuombe radhi Spika Ndugai kwa kudanganya kuwa nilishinikiza Wabunge wamjadili Wema Sepetu- Steve Nyerere
Nimuombe radhi Rais Magufuli kwa kuwatumia Mawaziri wake aliowaamini katika hili, lakini sikufanya kwa nia mbaya- Steve Nyerere
Kama wanadhani nitahama nao, wamepotoka. Hata kama ni kuhama, mimi nitakuwa msanii wa mwisho kuhama CCM- Steve Nyerere
Post a Comment