Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa na Polisi muda wa saa 12.00 siku ya jumatatu tarehe 06.02.2017 akiwa anatoka Bungeni huko Dodoma. Haijajulikana hasa sababu za kukamatwa Kwake.
Chanzo: Mkuregenzi wa Itifaki na Mawasiliano ,Uenezi na Mambo ya nje Chadema John Mrema.
on Monday, February 6, 2017
Post a Comment