Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Dawasa, Romanus Mwang'ingo akielezea mikakati ya huduma za maji katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.
Loading...
DAWASA kukamilisha uchimbaji wa visima vikubwa 20 mwezi ujao
Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita 600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) katika eneo la Kimbiji, Kigamboni Na Mpera Mkuranga. Mamlaka hiyo imejidhatiti kutatua uhaba wa maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake. Uchimbaji wa visima hivyo unatarajiwa kukamilika Machi mwaka huu.
Maji yakiruka juu baada ya kutobolewa mwamba mita 600 kutoka katika moja ya visima 20 vinavyojengwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa) katika eneo la Kimbiji, Kigamboni Na Mpera Mkuranga. Mamlaka hiyo imejidhatiti kutatua uhaba wa maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake. Uchimbaji wa visima hivyo unatarajiwa kukamilika Machi mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mitambo ya Kampuni ya Serengeti ikichimba kisima eneo la Kimbiji, Kigamboni Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Dawasa, Romanus Mwang'ingo akielezea mikakati ya huduma za maji katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.
Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Dawasa, Romanus Mwang'ingo akielezea mikakati ya huduma za maji katika Jiji la Dar es Salaam na Mkoa wa Pwani.
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
stars yafuzu AFCON 20255 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment