MAAMUZI MAHAKAMA KUU: Mahakama Kuu Dar imeamuru kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe asikamatwe wala kuwekwa kuzuizini hadi kesi yake dhidi ya RC Makonda, Kamishina Sirro na Mkuu wa Upelelezi Dar, Wambura itakaposikilizwa Ijumaa, wiki hii.
Chanzo: MwananchiLeo
on Tuesday, February 21, 2017
Post a Comment