Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Nape apiga 'vijembe' mitandaoni .... Hivi hapa ....

Kuna post mbili ambazo Waziri Nape ameziweka katika ukurasa wake wa twitter na kuwafanya  watu waanze kuzitafsiri kila mmoja apendavyo huku wengine wakizihusisha na kauli yake  ya kutaka busara itumike katika mapambano ya madawa ya kulevya.

Hata hivyo, Nape amedai post hizo hazina maana yoyote mbaya na badala yake ni masomo tu ya mwalimu Mwakasege

Post zenyewe ni hizo hapo chini

==>Hii ni post yake  Yenye Video ya Mahubiri ya Mwakasege
Baada ya post hizo kuanza kujadiliwa na watu, Waziri Nape amevunja ikimya na kuandika; Tujifunze kusoma biblia, Nasoma masomo ya Mwakasege watu wanachukua na kutafsiri watakavyo kwa faida zao.Nimesikitishwa sana. Si SAWA! - Ameandika Waziri Nape.

Download Our App

1 comments:

Palipo na mashauli Taifa Usimama

Reply

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top