Waziri wa Habari, Nape Nnauye amedai kuwa mbinu zilizotumiwa na RC Makonda kupambana na biashara ya dawa za kulevya zina kasoro kubwa.
Akizungumza jana katika mahojiano maalumu na kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na televisheni ya ITV Nape Amehoji kuwa inawezekanaje kumtaarifu muuza dawa za kulevya kuwa unataka kumkamata?
Aidha Waziri Nape amesema kuwa wazo la kupambana na dawa za kulevya alilianzisha yeye na alikuwa anapanga kulipeleka bungeni.
Chanzo;JamiiForum
Post a Comment