Loading...
SAKATA DAWA ZA KULEVYA .... Manji azidiwa ... Apelekwa Hospitali
Waandishi nje ya kituo cha Polisi kati DSM wameshuhudia Mfanyabiashara Yusuph Manji akichukuliwa na gari la Wagonjwa jioni hii.
=====
Mfanyabiashara Yusuph Manji amekimbizwa kutoka kituo cha polisi na gari la wagonjwa alikoenda kwa mahojiano tangu Alhamisi. Gari lililombeba limeonekana kuishia kituo cha dharura kwa wagonjwa cha hospitali ya Taifa Muhimbili.
Chanzo: Jamii Forum na Mwananchi
Post a Comment