Kamera imeshuhudi ndugu hao wakienda huku na kule ili kujua hatma ya ndugu yao huyo bila mafanikio.
Mmoja kati ya ndugu hao ambaye hakutaka jina lake litajwe, alidai alienda sentro Polisi na kuambiwa ndugu yao huyo hatapandishwa Mahakamani leo kutokana na majibu ya mkemia mkuu kuchelewa.
Mapema jana Kamanda huyo aliwaambia wanahabari kuwa mrembo huyo anachunguzwa kwa mambo matatu. “Tunamchunguza Masogange katika mambo matatu ili kujua kama anauza , anatumia au anasafirisha dawa za kulevya.”
Post a Comment