Waya wa umeme uliokatika ukiwa unaanza kufuka moshi baada ya kukatika mtaa wa Mchikichi na Msimbazi, jijini Dar es salaam.
Gari la Zimamoto likiwa eneo la tukio mtaa wa Mchikichi na Msimbazi baada ya waya wa umeme kukatika na kuanza kutoa moshi na hatimaye moto.
Kikosi cha Zimamoto kikiwa eneo la tukio mtaa wa Mchikichi na Msimbazi baada ya waya wa umeme kukatika na kuanza kutoa moshi na hatimaye moto.
Askari wa zimamoto wakiwa wanajaribu kuuzima moto huo kabla ya shirika la umeme la Tanesco hawajafika.
Loading...
Post a Comment