Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AUDIO: Kauli ya Mama Salma Kikwete Mara baada ya kuteuliwa kuwa mbunge

Tarehe 1 Mwezi wa 3,  2017 Rais Dk. John Magufuli alimteua mke wa Rais mstaafu wa awamu ya Nne mama Salma Kikwete kuwa mbunge wa bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 

Leo March 3 2017 akiwa mkoani Lindi amezungumza kuhusu kuteuliwa kwake na kumshukuru Rais Magufuli. 

==>Msikilize hapo chini akiongea
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top