"TANZIA:
Inna lilahi wainna ilyhi raajiun, Napenda kuwapa taarifa za kifo cha Bi Nuru Bint Daudi (Mamaake na Yusuf Kikwete) kilichotokea usiku wa kuamkia leo hospitali ya Taifa Muhimbili.
Taarifa zaidi za mipango na mazishi yatafanyika wapi nitazidi kuwapatia kadri muda unavyokwenda.
HAKIKA SISI NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA". - Ridhiwani Kikwete




Post a Comment