"Nimefikia Uamuzi wa Kumsimamisha Maalim Seif baada ya Kukaidi wito Wangu kama M/Kiti wa Kuja Ofisi Kuu buruguruni zaidi ya Mara 4
Nimemteua Mh Magdalena Sakaya kukaimu Nafasi ya Katibu Mkuu Taifa wa C.U.F, Nafasi hiyo awali ilikua inashikiliwa na Maalim Seif"
#Professa_Lipumba
on Monday, March 6, 2017
Post a Comment