Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK. MAGUFULI AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI



Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli asubuhi hii ameanza kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kinachofanyika White House, Makao Makuu ya chama mjini Dodoma.

Kikao hicho kitafuatiwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM na kisha Mkutano Mkuu maalum utakaofanyika kesho. Mkutano huo maalum umeitishwa ili kujadili na kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM na baadhi ya kanuni za uendeshaji wa chama hicho.

Na Edwin Mjwahuzi MCL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top