Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

VIDEO: Jokate amzungumzia Makonda


Kila staa ana namna anawaangalia viongozi wa nchi pamoja na wadau kutoka katika nyanja mbalimbali.

Jokate alipata fursa ya kuwazungumzia baadhi ya viongozi pamoja na wasanii na kutoa mtazamo wake jinsi anavyowachukulia.

Mwanamitindo huyo akiwa katika kipindi cha 360 cha Clouds TV Jumamosi hii aliulizwa swali ‘Nini kinakujia kwa haraka unaposikia jina Rais Magufuli, RC Makonda, Zitto Kabwe, Alikiba pamoja na Diamond Platnumz”.

Akijibu swahi hilo Jokate alisema, “Namfahamu Zitto Kabwe kama mtu smart sana, ukitaja jina la Mh Paul Makonda inanijia picha ya “Mbabe wa Vita” . Ukitaja Alikiba inanijia picha ya muimbaji mzuri. Ukitaja Diamond Platnumz namuona mtu mchapakazi (anajituma sana ). Kuhusu Rais Dr John Pombe Magufuli namuelezea kama TingaTinga ( mtu wa kazi ) , Mh Rais yuko vizuri sana,” alisema Jokate. BOFYA KUTAZAMA VIDEO NZIMA HAPO CHINI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top