Rais John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Nishati na Madini impe mfanyabiashara Aliko Dangote eneo la kuchimba makaa ya mawe na agizo hilo liwe limetekelezwa ndani ya siku saba kuanzia leo.
Rais Magufuli amesema kuwa nchii hii imetapeliwa vya kutosha hivyo haiwezi kuendelea kukaa na matapeli.
==>Msikilize Rais Magufuli akizungumza alipokuwa kwenye kiwanda cha Cement cha Dangote



Post a Comment