Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Askofu Gwajima amuelekeza Rais Magufuli pa kumpeleka Makonda

Gwajima Kuhusu Makonda leo kwenye Ibada ya Ijumapili ya April 9, 2017: "kwanza huwa najiuliza Rais Magufuli akimtoa Leo Makonda, atampeleka wap? Ila ninaushauri mmoja, ampeleke kwenye Balozi zetu nje ya nchi, akimtoa na kumuacha hapa hapa watu watamgawana,


...Akiendelea kumuacha ipo siku atafanya vitu vya kuaibisha na vya ajabu, kwanza Mimi ningekuwa Makonda ningekuwa nimeshaondoka siku nyingi,


Na hayo Mambo ya Ajabu yatakuja kutokea bado niko hai"

Hata hivyo Gwajima amesisitiza kuwa ataendelea kuzugumzia sakata la vyeti kuhusu Makonda nauacha haya Mengine mengine
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top