Na. Ahmad Mmow.
Wakati mgogoro wa uongozi ndani ya CUF- Chama Cha Wananchi ukiendelea kushika kasi katika ngazi ya taifa.
Mgogoro huo umeanza kushuka chini nakusababisha mgawanyiko kwa wanachama na viongozi wa ngazi za chini wa chama hicho.
Baada ya Wanachama wa chama hicho wa wilaya ya Lindi mjini kuitaka kamati ya utendaji ya wilaya hiyo imvue uongozi na nyazifa zote alizonazo mwanachama mwenzao.
Loading...
Post a Comment