WATU WENGI WAMEKUA WAKIPATA TABU USUSANI PALE UNAKUTA SMART PHONE IMEIBIWA AU KUHARIBIKA ALAFU KIBAYA ZAIDI KUNA MAJINA ULIYAHIFADHI KUPITIA SMART PHONE YAKO HII APA NJIA RAHISI YA KUPATA NAMBA ZAKO ZA SIMU KWENYE SMART PHONE YAKO KUPITIA GOOGLE.
FUATA HATUA ZIFUATAZO......................
1.NENDA KWENYE MEDIA YOYOTE ILE IWE KOMPUTA AU SIMU
2.TAFUTA BROWSER KWENYE IYO MEDIA YAKO(tumia "GOOGLE CHROME")
3.KISHA ANDIKA "CONTACT GOOGLE.COM" ITAKUPELEKA MOJA KWA MOJA KWENY
CONTACT GOOGLE SITE
4.UTAPEWA UWANJA WA KUANDIKA E-MAIL ADDRESS NA PASSWORD YAKO( HAPA INABID UANDIKE EMAIL ULOKUA UKIITUMIA KWENYE IYO SMARTPHONE YAKO ILIO POTEA AMA KUHARIBIKA)
5.BAADA YA HAPO UTAPATA KUONA NAMBA ZAKO ZA SIMU ZOTE ULIZO KUA UMEZISAVE KWENYE SMARTPHONE YAKO ILIOPOTEA .
Post a Comment