Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Hussein Bashe
*****
*KAULI ZA WABUNGE WA CCM BUNGENI LEO 11/04/2017*
Hivi Waziri wa Habari alikwenda kufanya nini katika Press ya Roma, mkiambiwa mlimteka mtakataa? Bora kusema ukweli kuliko kukaa kimya, najua mtasema kwa kuwa nilikosa uwaziri No! - *Juma Nkamia (CCM)*
Mimi nimekamatwa na kuteswa na Usalama wa Taifa. Nimenyanyaswa sana nchi hii. Ikibidi mnifukuze CCM (machozi) - *Hussein Bashe (CCM)*
Hakuna sababu ya Mwigulu kuendelea kukaa kimya wakati wananchi wanaishi kwa wasiwasi juu ya usalama wao. Kutoa kauli kunasaidia kutoa hofu.-- *Ridhiwani Kikwete (CCM)*
Mimi ni miongoni mwa wabunge niliotishwa na Mkuu wa mkoa wa Dar, na mpaka sasa mimi sikanyagi Dar licha ya kuimisi sana *-Hillary Aeshi (CCM)*
Loading...
Post a Comment