Loading...
Familia ya Sitta yapata msiba mwingine mzito
Familia ya Marehemu Mh. Samuel Sitta (pichani),inawatangazia Ndugu,jamaa,na Marafiki imepata Pigo la kuondokewa na Mdogo wa Marehemu Mh.Samuel Sitta, ambaye alikuwa Meya wa mji mdogo wa Urambo Ndg.Peter Sitta ambaye amefariki Usiku wa Leo jumamos trh 27/5 katika hospital ya Hindu Mandal..Msiba upo Masaki Nyumbani kwa Hayati Samuel Sitta Mtaa wa Twiga , Karibu na Makao makuu ya UNHCR .
Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina lake lihidiwe.
Post a Comment