Loading...
IGP Simon Sirro atema cheche
IGP Simon Sirro: Wahalifu wa Pwani wanakamatwa na wataendelea kukamatwa- Tutahakikisha watu wa Ikwiriri na Kibiti wanaishi kwa amani
"Si sahihi kumpiga mwandishi wa habari kwa sababu ni mwandishi wala kumpiga mhalifu kama imetokea tutapeleleza tutachukua hatua"-IGP Sirro
"Wahalifu Pwani hawajatuzidi nguvu na hawatatuzidi nguvu"-IGP Simon Sirro
"Watanzania wanaouawa na watu wanaodai wana hasira kali ni 200 kwa mwaka, idadi hii ni kubwa sana"-IGP Sirro
"Atakayesaidia kukamata watu wanaousumbua huko Kibiti, Mkuranga, Rufiji mimi kama IGP nitatoa milioni 10 kwa mtu atakayefanikisha"-IGP Sirro
"Nchi yetu ni shwari ukiangalia mikoa yetu hatuna matukio ya kutisha, tatizo tulilonalo ni mkoanu Pwani tu" -IGP Simon Sirro
Post a Comment