TAARIFA YA AWALI:CRDB BANK TAWI LA KURASINI JENGO LA UHAMIAJI MAJAMBAZI KADHAA WAKIWA NA WAJIHI WA SURUALI FUPI WALITAKA KUTEKA NA KUPORA PESA ZILIZOKUWA ZINASHUSHWA KWNY ATM, ASKARI WA ESCOURT NA WA LINDO WAMEFANIKIWA KUUA JAMBAZI MOJA NA WENGINE KUTOKOMEA KUSIKOJULIKANA. HALI ZA ASKARI NI SHWARI.
Post a Comment