Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KINANA AONGOZA UJUMBE WA CCM NCHINI ANGOLA




Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana yuko nchini Angola akiongoza ujumbe wa CCM katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya ukombozi wa Kusini mwa Afrika ( Front Line State parties).

Kinana ameongoza Majadiliano na vyama Rafiki vilivyoshiriki Mkutano huo kikiwemo Chama Cha Kikomunisti Cha watu wa China.

Ujumbe wa CCM umejumuisha katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi Humphrey Polepole), Katibu wa Siasa na Uhusiano wa kimataifa Ngemela Lubinga na watendaji wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Aidha, vyama rafiki vimepongeza CCM MPYA NA MWENENDO WAKE.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top