Tukio la mwisho kubwa kusikia adhabu ya Mwalimu kwa Mwanafunzi ilikua kwenye ile shule ya Mbeya Day ambako video ilisambaa mitandaoni ikionyesha Walimu wakimchangia kwa kumpiga Mwanafunzi ofisini. Leo hii kuna msiba kwenye Wilaya ya Chunya kwenye mkoa huohuo waMbeya baada ya Mwanafunzi kufariki kutokana na adhabu kali ya Mwalimu kumfungia kwenye kabati la shule,
Chanzo-millardayoo.com
Post a Comment