#TANZIA:Aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bw.Said Mwambungu (pichani) amefariki dunia katika hospitali ya Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na matatizo ya figo.
Mwenyezi Mungu amlaze Mahala Pema,Amina.
on Friday, May 12, 2017
Post a Comment