Loading...
Home » Unlabelled » Chadema hali tete .... Diwani ajiuzulu na kutangaza kumuunga mkono Rais Magufuli
Chadema hali tete .... Diwani ajiuzulu na kutangaza kumuunga mkono Rais Magufuli
Diwani wa viti maalumu (CHADEMA)huko Arumeru, Bi. Josephine Anaeli Mshiu amejiuzulu leo na kuamua kuachana na Chadema kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kumuunga mkono Rais Magufuli kwa kazi nzuri ya kuwatumikia wananchi, pia Mh Josephine amesema migogoro na mgongano wa kimaslahi miongoni mwa madiwani wa Chadema unakwamisha jitihada za kuwaletea wananchi maendeleo. Amesema anamuunga mkono DC wa Arumeru, Mh Mnyeti kwa jitahidi zake za kumuwakilisha vyema Mh Rais Magufuli ktk kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
Post a Comment