TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Loading...
Gwajima amjibu tena Makonda
Unaweza kusema ni vita ya mdomo kati ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima Akofu Josephat Gwajima, kama utakuwa na kumbukumbu wiki mbili zilizopita Makonda akiwa kwenye mahojiano na televisheni ya Star Tv alisikika akisema " Gwajima sio Askofu", Sasa Gwajima kupitia ibada yake ya leo Jumapili ya Juni 4, Amemjibu kila kitu na kumuita "Zero Brain"
Post a Comment