Loading...
Home » Unlabelled » Leo ndio Leo uwasilishwaji ripoti ya pili ya uchunguzi mchanga wa madini ... Ona jinsi ya kutazama LIVE tukio zima
Leo ndio Leo uwasilishwaji ripoti ya pili ya uchunguzi mchanga wa madini ... Ona jinsi ya kutazama LIVE tukio zima
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli Leo Tarehe 12 Juni 2017 Kuanzia Saa 3:30 Asubuhi Atapokea RipotiYa Kamati Ya pili Ya Kuchunguza Madini Yaliyo Katika Makontena Yenye Mchanga Wa Madini Yaliyopo Maeneo Mbali Mbali Hapa Nchini.
Fatilia Moja Kwa Moja Kupitia Tovuti Rasmi Ya Rais www.ikulu.go.tz
Kwa Kusikiliza Tembelea https://myradiostream.com/mobile/FocusRadiotz
Pia unaweza kufatilia Moja Kwa Moja Kupitia Televisheni za TBC,STARTV,AZAM TV Na ITV
Post a Comment