Loading...
Rais Magufuli aamua haya kwenye ripoti ya pili ya mchanga wa madini
ALICHOKIAMUA RAIS MAGUFULI BAADA YA RIPOTI YA PILI YA UWASILISHWAJI WA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA MADINI
Rais Magufuli: Mapendekezo yote yaliyotolewa na Kamati hii nayapokea na nimeyakubali kwa asilimia 100
Rais Magufuli: Kwa sababu Sheria zetu ni za hovyo, naomba Wizara ya Sheria ipitie hizi sheria na zipelekwe Bungeni kufanyiwa amendments
Rais Magufuli: Naomba Sheria ya Gesi ipitiwe, hata tukichelewa ni sawa lakini tuwe na sheria nzuri
Rais Magufuli: Wote waliotajwa wapo kasoro rafiki yangu Marehemu Kigoda
- Watafutwe na wahojiwe ilikuwaje wakavumilia huu unyonyaji
Imeandaliwa kwa hisani ya mitandaoni na;
Shilatu E.J
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
VOA Express2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment