Loading...
Taarifa mpya juu ya nyumba ya Mwenyekiti CCM kuchomwa moto
Nyumba mwenyekiti wa CCM wilaya ya HAI Dr. AMINI URONU imechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu ambao mpaka sasa hawajafahamika...
1. Mzee na mama wote wamelazwa hospital ya Mt. Joseph.
2. Mzee kapata madhara kiasi ktk maeneo ya miguu na mkono.
3.kwa kumuona pamoja na uthibitisho wa madaktari hali yake ipo vizuri.
4. Hakuna taarifa yyte ya ziada kutoka kwny familia.
Post a Comment