Siku 4 baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuwekwa mahabusu, Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge wa CHADEMA, Tundu Lissu leo July 24, 2017 amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kesi ya uchochezi.
Loading...
Post a Comment