Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom,alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. |
Karibu uketi: Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake, Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom,alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipiga picah maalum na Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, alipofika kwa ajili ya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa mkono Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, baada ya kumfurahisha jambo wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. |
Kaimu Balozi wa Marekani hapa Nchini, Inmi Pettersom, akifafanua jambo wakati wa mazungumzo yake na Katibu Mkuu wa CCm Abdulrahman Kinana katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga picha maalum na Blozi wa Algeria hapa nchini, Saad Belabed |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga picha maalum na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Palestina hapa nchini Hazen Shabat, baada ya mazungumzo yao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo. PICHA BASHIR NKOROMO |
Post a Comment