MSIBA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda, Leo amewaongoza wananchi mbalimbali wakiwemo wasanii, na watangazaji wa Radio kuaga Mwili wa Mfanyakazi wa kituo cha radio cha efm Marehemu Seth Katende maarufu kama 'bikira wa kisuma' katika viwanja vya leaders Jijini Dar es Salaam.
on Wednesday, July 12, 2017
Post a Comment