*02/07/2017 Viongozi mbali mbali, wanachama wa Chama cha Mapinduzi na jumuiya zake wa wilaya ya Ubungo na wananchi wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC)Leo wamehudhuria katika mazishi ya aliyekuwa Katibu Kata wa UVCCM Kimara Ndugu Salha Hussein Uyanga Mbagala Msevule na kuenda kuzikwa Kijijini kwao Kisiju Mkoa wa Pwani.*
on Sunday, July 2, 2017
Post a Comment