Loading...
Shaka azidi kuchanja mbuga ..... Awajulia hali Wagonjwa
Ndg:Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Shaka Hamdu Shaka Mapema ya leo 17/07/2017 ametembelea Kituo cha Afya katika kijiji cha Nguruka wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma.Akiwa Zahanati hapo Amekagua ujenzi wa wodi mpya na kukagua wodi mbalimbali za zahanati hiyo,kugawa zawadi kwa wagonjwa kisha akawahakikishia wahudumu wa zahanati Serikali itamaliza changamoto nyingine.
Post a Comment